CCM walimtumia Lowasa 2015 kufanya mission yao (nikiri kwamba hapa ndipo nlipo hama upinzani rasmi kwa sababu hazikua akili za chama kimoja bali kulikua na ukawa so its safe to say akili za upinzani zko sawa) , upinzani uliwanadi ccm bila kujua na hatimae ccm walipata ushindinikianza kwenye miaka ya 2000 wakati nkiwa mkereketwa wa upinzani kwa sababu skuwahi kumpenda kikwete na utawala wake,
Mpaka leo 2021 uungwaji wa mkono kwa mama samia kutoka kwa upinzani ni mkubwa kuliko hata ndan ya chama chake mwenyewe, yale yote ya lissu yamewekwa pemben na mama samia amekua shujaa, mpaka nnavoongea sasa hivi hakuna mpinzani ambae hajakiri imani yake kwa samia, very pathetic! uzuri wa ccm hua ni watu wa statistics ukiachana na mambo yao maovu kama rushwa its safe to say, CCM ina miaka 60 tena mbele!
Yale maneno ya baba wa taifa kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM kwa wenyewe basi ndo unaoendelea kuonekana mpaka sasa
hawa ni enzi ya ccm ikiwa upinzani
Wakati Mama SSH Rais wa JMT anaendelea na jitihada za kuponya umoja wa kitaifa kutokana na madhila yaliyofanywa kwa upinzani na makundi tofauti ya watu na mwendazake, bado kuna watu kama wewe mnataka kuturudisha ktk utawala wa giza.
Waganga njaa na ma-gangstar wapo kwenye ripoti ya CAG. Kwa sasa CHADEMA hawahusiki ninapotaka kuangalia mustakabi wa kimaendeleo wa Taifa.Hii nchi haina upinzani, ila waganga njaa kina Lema.
Vyama vya siasa vya upinzani vinaongozwa ki gangstar/Mafia style unategemea watakuja kushika nchi kweli?
Waganga njaa na ma-gangstar wapo kwenye ripoti ya CAG. Kwa sasa CHADEMA hawahusiki ninapotaka kuangalia mustakabi wa kimaendeleo wa Taifa.
Wewe ngoma ya CCM ndio imekukolea kweri kweri!Wakati Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT anaendelea na jitihada za kuponya umoja wa kitaifa kutokana na madhila yaliyofanywa kwa upinzani na makundi tofauti ya watu na mwendazake, bado kuna watu kama wewe mnataka kuturudisha ktk utawala wa giza.
Upinzani ulijiua wenyewe kwa kupoteza uhalisia.Hongera ziende kwa JPM, hakika aliua upinzani ambao wengi wao ni vibaraka wa mabeberu tu.
Sasa hivi ni madalali wa AstraZeneca 🤣Upinzani ulijiua wenyewe kwa kupoteza uhalisia.
Chama kinachojiita cha kidemokrasia hakiko tayari kubadili mwenyekiti. Hapo lazima wananchi wawe mazuzu ili waendelee kukiamini.
Chama ambacho maamuzi yanafanywa kutokea mfukoni mwa mtu mmoja hakiwezi kubaki imara.
Chama ambacho wabunge wake wamesusia bunge Ijumaa kwa madai ya kwenda kujikarantini kuepuka korona; wabunge wake wanaonekana Dar es Salaam weekend nzima wakigombana na Makonda. Sugu alijipost akipiga supu Dar akimnanga Makonda akamkamate ikiwa ana ubavu!
Jumatatu yake ndiyo wakatinga Dodoma kuanza karantini yao huku wakijipost mitandaoni kuwa "sasa karantini inaanza rasmi"! Sasa hicho ni chama au kundi la wapuuzi wanaotafuta madaraka?
Chama kama hicho kinapopata mbunge mmoja wa kuchaguliwa unasemaje kiliuawa? Bila shaka vimejiua vyenyewe.