Kwa sababu walishaishiwa hoja na wamebakia kudandia matukio ,hili la mchanga wanapamabana kufa na kupona ili kuhakikisha serikali inashindwa katika vita hii!!kwao kushindwa kwa serikali katika kesi hii itakuwa ndiyo hoja ya kuenda nayo kwa wananchi 2020!!
Mwanchi Wa kawaida atahadhalishwe juu ya hujuma hii ya kisiasa!!wapinzani Wa namna hii hawalitakii meema taifa letu!! Kwao adui yao ni CCM na ikitokea nchi ikavamiwa na adui kutoka nje kwa lengo LA kuiangusha serikali ya CCM wako tayari kuungana ilimradi CCM itoke madarakani!!!wanasahau kuwa adui ni adui !!!
Miaka mingi wapinzani Hawa walipiga kelele kuwa mikataba ya madini ni ya kinyonyaji .hili ni kweli!lakini cha kushangaza ni kuwa Leo wanaigeuka serikali na kuwa upande Wa adui kuwa mikataba hiyo isipitiwe .unajiuliza kuwa wao kama wangeingia ikulu mikataba hiyo wangeifanyia nini!?hapo ndipo unapoona kuwa wapinzani wakiingia ikulu hawataleta maendeleo yoyote kwa maana wao kitu bora ni madaraka (kuwepo ikulu) na siyo maendeleo ya taifa hili!!
Muda huu siyo wakulaumiana kuwa eti Serikali ya CCM ndiyo iliyo saini mikataba mibovu namna ile!!haisadii kitu unless unatafuta kick ya kisiasa!!tukikuuliza kuwa wewe ukiingia ikulu mikataba hii utaifanyia nini jibu lako ni lipi hasa?
Nishauri serikali yetu tukufu ipambane kufa na kupona ,tuwe wamoja,tusilaumiane,hii ni vita Kali na adui ni wengi toka ndani na nje!!tuandae makombora ya kutosha na hata ikiwezeka silaha Kali katika vita hii!!tusiweke wanasheria wazembe na wachumia tumbo!!na zaidi tuliombee taifa letu!! Wapinzani wasituyumbishe na mahala pengine tusiwasikilize vitishio vyao maana kushindwa kwetu ni furaha kwao!!
If we win this war it is the joy and wealth of our children and grand children ,our future nation!!!the win is not going to be the win of CCM,or JPM but the win of our nation!!if you think the failure in this case is the win our party ,you are the enemy of your children and grand children unless your not OK upstairs!!!