Wapinzani wamefikia malengo yao

Rais kasema Amechoka kuambiwa na watu wenye nia ovu nimeambiwa nimesikia sasa basi kwa Rais.
 
Wewe huwa sikuelewi kama ni mtu au binadamu make katika watu ambao wanaongea ubwabwa wewe wa kwanza.

umeandika nini hapo? Kijana ludi shule hii kazi yakushinda hapo lumumba na hizo elfu 7 itafika mwisho hivi karibuni tu!!!!
 
Tungekuona una busara kama ungeishambulia hoja yake badala ya kumshambulia yeye binafsi!
Kuishambulia hoja iliyoletwa kilaghai ni kuharalisha ulaghai na kuonekanana pia kama ni mmoja wa walaghai.

Lazima kwanza tuushambulie ulaghai wake ili ujenzi wa hoja uwe na mantiki na siyo hii ya kukaa pembeni na kuanza kuwakejeli wanaJf wanaojibu hoja zake bila kufahamu kama mleta hoja ni mlaghai.
 
Una uhakika Mwenezi na unachokisema? Fanya utafiti kwanza Mkuu. Jenga hoja kulinda heshima yako. Mimi sijawahi kuhama chama kama wewe tangu ujana wangu.Karibu Ofisini tuongee vyema
Kwa mtu mwenye ufahamu hawezi kujenga hoja zinazoletwa kilaghai.

Swala la kujenga hoja iliyoletwa kilaghai ni bootless task.

Jitahidi kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili upate ofisi ya kudumu kama mwanasheria.

Misingi ya taaluma yako hairuhusu ulaghai.
 
Mkuu mimi si mlaghai.Tatizo kubwa lililopo ndani ya CCM yetu ni kuwa mkweli huchukiwa na kuonekana mpinzani. MwanaDiwani,wewe ni kiongozi chamani.Ubadilike.Ujenge hoja za haja.Acha kuropoka. Ukinisababisha niasi CCM,nitaanza na wewe. Jadili hoja. Kuwa M-CCM si kuwa mropokaji na muongo.Nyinyi ndio mnatuharibia chama chetu tawala. Njoo Lumumba, ukinikosa rudi hapa.
 
jana JK kamwambia Lissu,"... yatosha, upo sahahi, nakukubali...."

Kimsingi na kwa ujumla wake Kikwete kama Kikwete ni mtu mzuri sana. Binafsi nammaindi. Kikwete kama rais anadanganywa na washauiri wake na hasa wale wanaodhani ikulu ni mali ya CCM. Imagine ingekuwaje kama angewasikiliza washauri wake waliokuwa wanahofia wapinzani kunywa chai na juisi. Lakini akatumia utu akijua ni suala la taifa na tena hana muda mrefu madarakani akaongea na wananchi wenzake. Hongera rais na Kikwete. Wapuuze hao wanaotaka kukutumia kwa manufaa yao ambao miongoni mwao ni mawaziri waandamizi watatu.
 
Sijasoma upuuzi ulioandikwa na mleta mada, ila ningependa nimkumbushe yeye mleta mada na watu wote wa aina yake kuwa muswaada ulisainiwa tangu tar 10 na sasa ni sheria.
 
Sijasoma upuuzi ulioandikwa na mleta mada, ila ningependa nimkumbushe yeye mleta mada na watu wote wa aina yake kuwa muswaada ulisainiwa tangu tar 10 na sasa ni sheria.
Leo utamaliza ID zako zote ndugu yangu. Ukweli ndio huo Mkuu.Tuupokee tu.Asante angalau uliuona uppuzi wangu na kuweka maoni yako. Ubarikiwe sana Mwenezi
 

Msosi je
 
Sijasoma upuuzi ulioandikwa na mleta mada, ila ningependa nimkumbushe yeye mleta mada na watu wote wa aina yake kuwa muswaada ulisainiwa tangu tar 10 na sasa ni sheria.

Naona huyu haelewi.
 
Huna lolote endelea na ulaghai wa kuwaokota wenye akili za kibavicha.

Wananchi wengi walishawakataa na ulaghai wenu kama huu wa kujifanya wewe ni kiongozi wa CCM wakati ni CHADEMA.

Unafahamu fika kama ukisema wewe ni CHADEMA hutapata wanaJf watakao kuamini katika hoja zako badala yake unakuja Jf umevaa U-CCM ili kuwahadaa wana JF kwa faida za muda mfupi.

Tutaendelea kuwaeleza ukweli wanaJf ili waendelee kukupuuze katika mabandiko yako.
 
Umeeleza vizuri sana shida ni wenzio wa Lumumba buk 7!! watakutusi wakikugundua wanakukolimba, au kukumwangosi/kukuulimboka/kukukibanda wakutupe Mabwepande!! take care!!
 
Kama ndivyo,wewe nawe ni CCJ. Watakupuuza nawe.Umefurahi? Haya endelea na sikukuu na majukumu yako mengine.Hofu yangu hapa ni kubomoa chama chetu badala ya kujenga.Tutafute siku tupambane humu kwenye bandiko.Tutaomba ruhusa ya kutajana na kuanikiana kila kitu.Uko tayari Mkuu? Siku njema Mwenezi!
 
Sasa mbona hukuushambulia huo unaouita ulaghai, badala yake ukamshambulia mtu mwenyewe! ninamashaka na uwezo wako wa kuchambua mambo.
 

That was completely unnecessary MwanaDiwani, I'm sure you are a much better person than that.

Take care.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli wapinzani malengo yao yametimia , na kwa sasa mbowe,lipumba na hata mbatia binafsi nawaita ni senior citizen, ni wazalendo wa ukweli..
 
Ngumu kumesa hii. Wapinzani wanafanya movement zinazoleta matokeo chanya. Sisi wananchi wakawaida tunawaelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…