Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Nimeamua kutokuwa mpinzani wa serikali ya Samia baada ya kuona wapinzani wa nchi hii hawana akili timamu.
Polepole huyu huyu aliyewaminya wapinzani kwa miaka 5 mfululizo bila kupumua leo baada ya kutemwa na mfumo kwaajili ya madudu yake mnamwoma shujaa.
Cuba gesi inaagizwa nje. Hiyo bei ya mtungi wanayouziwa Cuba according to Polepole mnayemwamini hakuna mahali popote duniani wanauziana kwa bei hiyo.
Hata nchi zinazo export Gas asilia hawajawahi kuuziana gesi ya kg 20 kwa bei kama hii ya Polepole.
Eti Kg 20 ya gesi safi inauzwa chini ya dola 1. Nanyi mnatetemeka kwa hasira mkihisi mnapigwa na Rostam na Abdul.
If you can believe such nonsense, you are totally mad, you need one to one session so as I can lay my hand on your head to cast out demon of foolishness