Hahaha! na siku hizi hamna maneno ushahidi wa picha na video tu lol!Hahahah! Na bado watageukiwa mpaka washike adabu!
Hahaha... Wakubali tu yaishe manake wameshikwa vibaya...lolHahaha! na siku hizi hamna maneno ushahidi wa picha na video tu lol!
Hahahaha! Mkuu hapo kwenye DC mwislam afu anafuga kitimoto umenvunja mbavu mbili...lol... Kweli wapinzani kigeu geu! Wamemgeukia mpaka DC na kumvua kanzu...ooh sorry i mean hijabu!Nikitaka kutmia uddini wananigeukia,
DC kumgeuza mwislamu huku anafuga kitimoto wananigeukia
WANANIGEUKIA, WANANIGEUKIA
Nikisema wanaleta wapalestina, wananigeukia
Nikasema wamechanganya na Walibya, wananigeukia
WANANIGEUKIA, WANANIGEUKIA....
huyo hata kwa jik hatakati mkuu hahaha!Wakitaka kumsafisha lowasa wananigeukia
kwako tena ? siwezi kabisa kuwa kigeugeu unafahamu sili silali nakuwaza wewe lol!Hahahahaha! Mpnz hujatulia wewe! Hivi wewe sio kigeugeu?
Hapa mkuu naona Rostam anatuma salamu CCM anauma na kupuliza hahaha!Ninapofanya juu chini ili kuchakachua poll results-wapinzani wananigeukia.>>>Hata wale waliolia alipojiuzulu R.A-C.C.M wameigeukia.>>>Mpiga kura kigeugeu>>>Wamekula ubwabwa lakini vigeugeu>>>Msimamizi kigeugeu>>>Tumewapa khanga lakini vigeugeu.