Rumishaeli
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 227
- 72
DUUU! sasa km hukusikiliza hotuba yote ya JK utakuwa na upeo gani wa kulinganisha na hotuba nyengine? Blind fanatism may drive you one to insanityKwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aache kutufanya mazuzu. Hapa hakuna nani alifanya nini wakati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopo na JK unatakiwa kufikiri.
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.

uwezo wake wa kufikiria ndio umeishia hapo mkuu...Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aache kutufanya mazuzu. Hapa hakuna nani alifanya nini wakati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopo na JK unatakiwa kufikiri.
Inteligensia ya polisi itamruhusu Mbowe kuitisha mkutano na wazee? :canada:
Niliona akiongea na wazee wa dini Fulani hapo Dar es Salaam
Msipende kupotosha, JK kaweka mambo hadharani, CDM hamuwezi kutudanganya, sie tunajiandaa kushiriki kutoa maoni mwakani
TUTOLEE UHARO WAKO 'if u have nothing to share ''nenda kalale usilete issue za udini !!Nyie si huwa mnampinga J.K kwa sababu ya dini yake?.
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aacytrtutyrrruuhe kutufanya mazuzu. Hapoa hakuna nani alifanya nini waukati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopwo na JK unatakiwa kufikiri.