Wapinzani hawaaminiki tena

Sasa ulitaka asemeje? Kwenye sharubu ni sawa na kwenye wapaka poda?
 
Mwanzo tulikuwa wenye misimamo inayotia moyo sana katika kulikomboa hili taifa. Lakini toka Lowassa aje tumegeuka na kuwa watetezi wa mafisadi.
 
Wapinzani wataendelea kuaminika milele tunayoyaona Leo yakitekelezwa ni kilio cha wapinzani muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…