kistick
Member
- Oct 30, 2013
- 68
- 22
Wapinzani anzeni kujipanga katika ngazi ya kijiji maana huwa manafocus mijini tu, CCM wanaanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe wanatafutana uchawi anzeni kuamka sasa, hii ni fursa kwenu tatizo na nyie mnapingana huko huko lipumba anawapinga wapinzani umoja wenu ni muhimu