Baadhi ya wanawake hawajitambui kabisa,mie nadhani usipo mumba huyo mwanamme hela huenda alikufikiria akupe nyingi
kuliko unayo taja,au niuliza wenzangu wanaoomba kijinga jinga mfano anataka hela ya saloon,hela ya nywele,mara vocha,mara hela ya kula ivi kweli hapo ndio mwisho wa mahitaji yako? kwanini usimpe nafasi huyo mwanamme akafikiria akupe nini cha maana?