Wapiga Mabao - Goal Poachers

Wapiga Mabao - Goal Poachers

Elewa thread anataka utaje wachezaji ambao unawaona wanashangilia goal tu hawana mbwembwe nyingi ni kufunga tu kama Inzaghi au Chicharito ungekua mtihan Mngefeli wengi

Ni kweli! Kuna watu kama unasikiliza mpira kwenye redio hutasikia wakitajwa na mtangazaji! Utawasikia tu baada Ya goooooaaaal! Rud van!
 
Back
Top Bottom