Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,749
Watu wangi wamejitokeza kupiga kura mara tu baada ya vituo kufunguliwa haijulikani ni saa ngapi walivamia kituo na kukisambaratisha wasimamizi walitokea na madirishani na kutoka baru huku waakifukuzwa kama wezi wakiwacha masanduku na makaratasi ya kupigia kura na vifaa vingine ,haijajulikana mara moja kilichopelekea wapiga kura hao waliojitokeza kwa maelfu kilichowafanya wafanye hivyo.hali hio imetokea kila sehemu kama inaonyesha kuliwashwa switch na taa kuwaka.