Wapiga kura Lema-Arachugga

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,919
Mabadilikooooooooooooooooooooooo
oooooo.................................
 
Wametoka kilioni jamani sio bhange
 
Mbona sasa macho kama rangi ya pink huyo alikuwa anatengeneza hiyo picha sio mbunifu imekuwa kituko imeshindwa kufikisha ujumbe barabara.
 
Pamoja na hayo macho ya kidizaini, anaingia kituoni anatoa kitambulisho chake na kupewa karatasi ya kura.Anapiga kura na kura yake inahesabiwa! Kwani wewe mleta picha ulikuwa unafikirije? Kwamba hawa watafukuzwa kituoni?
 
Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna mmoja amefanana na mchezaji wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…