Wapiga dili waandamana na mgombea

Wapiga dili waandamana na mgombea

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Kupiga kura sio kujaza nafasi inayoachwa wazi, bali wanachagua mtu wa kufanya kazi kwa miaka mitano inayokuja. Anamshangaa Sumaye kwa kuthibitisha tetesi kuwa Lowassa ni mgonjwa, badala ya kukanusha!
Kikwete hakufanya siri ugonjwa wake, tena ametibiwa katika mwaka wa kumi wa utawala wake! Anashangazwa na maneno kuwa 'Ikulu hatuendi kubeba zege'! Rasi ni kiongozi, sio meneja!

Rais wa Tanzania sio nembo, bali ni mtu anayetakiwa kuongoza na kusimamia! Lazima tuoanishe aina ya mtu tunayemtuma na matatizo yetu. Mgombea wa CCM amezunguka mwenyewe mikoa kadhaa ya Tanzania akiomba kura yeye mwenyewe, hilo linafanya tumuamini!

Tusinunue kila kile tunacholetewa, kuleta mabasi kutoka kote kuja kushuhudia hotuba ya dakika
kumi! Kuwaambia masikini wakaangalie hotuba kwenye website, hiyo ni dalili ya mtu kuchoka!
Lowassa amechoka kiafya na kifikra. Baraza la Mawaziri halitaki mtu aliyechoka, alishawahi kusahau hata jina la mke wake kwenye hotuba!

Wapiga dili wote wanaambatana na Lowassa, wakishamuanika juani wao wakapige dili.Lowassa ni mpiga dili tangu akiwa Shule ya Sekondari! Sumaye anasema kuwa ufisadi umeendelea hata baada ya Lowassa kutoka madarakani, hafahamu kila siku wanazaliwa Watanzania wema na wabaya. Hatuwezi kuchagua fisadi papa eti kwa
kuwa tu ufisadi upo nchi hii.

WanaCCM wanawafahamu wagombea wote, wapinzani wamewapokea watu ambao hawawafahamu! Magufuli ana rekodi ya uadilifu tangu akiwa naibu waziri.

CCM sio kwamba haijui kuwa kuna mafisadi, vyombo vya chama viliangalia mtu anayefaa kwa nafasi ya urais. Licha ya umaarufu wake, Lowassa ana sifa ya kuwa mpiga dili! Hata kwenda CHADEMA na kupata nafasi ya kugombeaurais ni dili.

Mungu anatuacha tuishi kwa kuwa anaamini ipo siku tutabadilika, pengine Kikwete alikuwa na uhakika kuwa Lowassa atabadilika, miaka miwili tu akapiga dili! Kilichowapatanisha CHADEMA na Lowassa sio shida za watanzania, bali ni maslahi yanayofanana! Anauliza kama leo Lowassa angekuwa mgombea wa CCM wapinzani
wangetoa kauli gani? Wanatumia pesa nyngi kuhakikisha wanamweka madarakani, shida yao sio matatizo ya
Watanzania! Wanajua pesa waliyotumia itarudi! Sumaye alipora viwanja Morogoro, na
kusababisha mtafaruku mkubwa. Leo hii anadiriki kuwahadaa watanzania!

MAGUFULI NDIYE CHAGUO SAHIHI LA WATANZANIA: HAPA NI KAZI TU!
 
twiga kapanda kwenye ndege anaenda nchi za kiarabu
 
Hata msemeje sisi hatuyumbi tumeshaamua CCM basi!!! Huu ni wakati wa mabadiliko, vijembe havisaidii. Hamtakiwi kutoa ahadi, mnatakiwa kutueleza miaka zaidi ya 50 iliyopita mmefanya nini halafu sisi tuwaulize chenchi yetu iko wapi
 
Kupiga kura sio kujaza nafasi inayoachwa wazi, bali wanachagua mtu wa kufanya kazi kwa miaka mitano inayokuja. Anamshangaa Sumaye kwa kuthibitisha tetesi kuwa Lowassa ni mgonjwa, badala ya kukanusha!
Kikwete hakufanya siri ugonjwa wake, tena ametibiwa katika mwaka wa kumi wa utawala wake! Anashangazwa na maneno kuwa 'Ikulu hatuendi kubeba zege'! Rasi ni kiongozi, sio meneja!

Rais wa Tanzania sio nembo, bali ni mtu anayetakiwa kuongoza na kusimamia! Lazima tuoanishe aina ya mtu tunayemtuma na matatizo yetu. Mgombea wa CCM amezunguka mwenyewe mikoa kadhaa ya Tanzania akiomba kura yeye mwenyewe, hilo linafanya tumuamini!

Tusinunue kila kile tunacholetewa, kuleta mabasi kutoka kote kuja kushuhudia hotuba ya dakika
kumi! Kuwaambia masikini wakaangalie hotuba kwenye website, hiyo ni dalili ya mtu kuchoka!
Lowassa amechoka kiafya na kifikra. Baraza la Mawaziri halitaki mtu aliyechoka, alishawahi kusahau hata jina la mke wake kwenye hotuba!

Wapiga dili wote wanaambatana na Lowassa, wakishamuanika juani wao wakapige dili.Lowassa ni mpiga dili tangu akiwa Shule ya Sekondari! Sumaye anasema kuwa ufisadi umeendelea hata baada ya Lowassa kutoka madarakani, hafahamu kila siku wanazaliwa Watanzania wema na wabaya. Hatuwezi kuchagua fisadi papa eti kwa
kuwa tu ufisadi upo nchi hii.

WanaCCM wanawafahamu wagombea wote, wapinzani wamewapokea watu ambao hawawafahamu! Magufuli ana rekodi ya uadilifu tangu akiwa naibu waziri.

CCM sio kwamba haijui kuwa kuna mafisadi, vyombo vya chama viliangalia mtu anayefaa kwa nafasi ya urais. Licha ya umaarufu wake, Lowassa ana sifa ya kuwa mpiga dili! Hata kwenda CHADEMA na kupata nafasi ya kugombeaurais ni dili.

Mungu anatuacha tuishi kwa kuwa anaamini ipo siku tutabadilika, pengine Kikwete alikuwa na uhakika kuwa Lowassa atabadilika, miaka miwili tu akapiga dili! Kilichowapatanisha CHADEMA na Lowassa sio shida za watanzania, bali ni maslahi yanayofanana! Anauliza kama leo Lowassa angekuwa mgombea wa CCM wapinzani
wangetoa kauli gani? Wanatumia pesa nyngi kuhakikisha wanamweka madarakani, shida yao sio matatizo ya
Watanzania! Wanajua pesa waliyotumia itarudi! Sumaye alipora viwanja Morogoro, na
kusababisha mtafaruku mkubwa. Leo hii anadiriki kuwahadaa watanzania!

MAGUFULI NDIYE CHAGUO SAHIHI LA WATANZANIA: HAPA NI KAZI TU!

Excellent post
 
Back
Top Bottom