Mkyamise
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 526
- 677
Ni wazi kwamba serikali inajitahidi kujenga miundombinu kama stendi. Kinachokera ni hili kundi la wapigadebe.
Mfano pale stedi mpya ya Nyamhongolo Mwanza, yaani ukishuka tu kwenye Hiace zinazotoka mjini, unaweza kupokelewa na wapigadebe hata 10 wakikuuliza Musoma, Tarime, Sirari, Bariadi n.k.
Kero kubwa sana hii. Imagine umetoka zako huko ulikotoka na unapoenda unapafahamu na hata usafiri wa kwenda unakoenda unaufahamu mathalan majina ya magari yanayoenda unakoelekea.
Anatokea mtu anakuuliza unakoenda? Stupid! Wametushinda?