Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
Mambo ya chabo bwana, kuna jamaa aliitwa akapige chabo, km kawaida jamaa akajumuika, alipofika kule akakuta anayemegwa bana ana undugu naye, lkn kwakuwa jamaa alikuwa ni mgonjwa wa CHABO na kwa ushauri wa wadau wale kwamba asitibue dili jamaa ikabidi apige kimya aendelee kula kozi, mle ndani jamaa anajituma km injini ya VX full spidi mwana, maujanja na mautundu ya kufa mtu, kila kona jamaa anatekenya, km dk ishirini hivi gemu likawekwa pozi kidogo, mara mambo ya wimbo weetuu uleee wa kizenji, samaki poleee yakaanza samaki sasa akawa anageuzwa ubavu wa pili tayari kuliwa JICHO, Jamaa kuona vile hakukubali si akaingia na mlango HAPANA HAIWEZEKANI UKAMGEUZA NA MIYE NDUGU YAKE NAONA, duh ikawa balaa tena wale wadau dili likambumbuluka wote wakalala mbele.
toba yarabi!!!
Nimekwisha badili avatar, nasubiri majibu.
Dunia imekwisha mbona hii picha ni kama ya shoga fulani huku Mombassa?
du siku hizi unauzia Mombasa? majani mapana umetoka lini?
Masa Kabla ya kumjibu BURN toa msimamo wako kwenye hoja ya CHABO.
siku nikiwa nimeishiwa utanitupia buku?
Ukishapiga chabo then what na wwe ndio unategemea chabo ili iku turn on ukamalize mbele ya safari?
Uswazi kuna ki-lodge flani hivi, kuna jamaa anakujaga na demu halafu wanaanza sex mida ya saa nane usiku wakati it is totally quiet. Demu huwa napiga kelele za mahaba kiasi kwamba haihitaji macho/chabo kujua ufundi wa mshkaji.
ha ha ha ha ha! te te te te kwe kwe kwe. Mmenichekesha sana nasikia wengine wanajipaka mafuta ili wakikamatwa wateleze
Siku ukiwa na issue niPM kwa maelekezo ulipo nije kupiga chaboz!
ha ha ha ha ha! te te te te kwe kwe kwe. Mmenichekesha sana nasikia wengine wanajipaka mafuta ili wakikamatwa wateleze