Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

Anaimarisha Alliance of Coward and Traitors - ACT
 
unafiki na undumila kuwili unamtokea puani,hajui ashike lipi,mbili au tatu,siri au uwazi mpaka aone msimamo wa jk ndo ataamua bahati mbaya amechanga karata vibaya na upepo haumuendei vizuri... anatafakari.ameamua kuwa mchambuzi wa soka.
 
Nimemsikia jana bbc akihojiwa na Salim Kikeke kuhusu mpira wa Liver na Man City akiwa Ujeruman, jamaa ni shabiki wa live

Waambie wanadhani zitto ni kichwa maji ana mambo mengi ya kufanya sio kuropoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…