Chama sehemu gani hi way or mbuyuni funguka mkuuWakuu habari zenu
Naomba kuelezwa wapi zipo ofisi za uhamiaji Dar nataka nikaombe passport.
My location ni Kibamba chama
Jirani habari za leo nenda mpaka uwanja wa taifa shukia kituo cha uhasibu kama umetokea upande wa Buguruni, ukitokea upande wa mjini shukia kituo cha Jitegemee JKT Sekondari. Hapo ukiwa umetokea mjini upande huo huo kuna njia inakata kusoto kwenda kuungana na kurasini shimo la udongo mita chache mkono eako wa kushoto baada ya ofisi za Posta utaona Bara bara inayokata kushoto ukiifwata hiyo ni mita chache utaliona Jengo la uhamiaji hapo utahudumiwa vyema, au ukishuka hapo JKT muulize boda boda yeyote atakuelekeza.Wakuu habari zenu
Naomba kuelezwa wapi zipo ofisi za uhamiaji Dar nataka nikaombe passport.
My location ni Kibamba chama
Kurasini kama unaenda kanisa la kkkt usharika wa kurasini mbele kushoto yaani kanisa liko kulia na hizo ofisi ziko mbele kushotoWakuu habari zenu
Naomba kuelezwa wapi zipo ofisi za uhamiaji Dar nataka nikaombe passport.
My location ni Kibamba chama
Jirani habari za leo nenda mpaka uwanja wa taifa shukia kituo cha uhasibu kama umetokea upande wa Buguruni, ukitokea upande wa mjini shukia kituo cha Jitegemee JKT Sekondari. Hapo ukiwa umetokea mjini upande huo huo kuna njia inakata kusoto kwenda kuungana na kurasini shimo la udongo mita chache mkono eako wa kushoto baada ya ofisi za Posta utaona Bara bara inayokata kushoto ukiifwata hiyo ni mita chache utaliona Jengo la uhamiaji hapo utahudumiwa vyema, au ukishuka hapo JKT muulize boda boda yeyote atakuelekeza.
Taadhari pana vishoka wengi sana pale nnje nakuomba uwe mwangalifu sana. Mungu akusimamie utimize hitaji lako.
Zipo Luguruni pale ofisi ya mkuu wa wilayaWakuu habari zenu
Naomba kuelezwa wapi zipo ofisi za uhamiaji Dar nataka nikaombe passport.
My location ni Kibamba chama
YeahKumbe unaweza pata hata ofisi ya wilaya tu
Nasikia eti passport wanabana kutoa ?Yeah
Hilo ni tatizo la miaka mingi wala sio geniNasikia eti passport wanabana kutoa ?
Na kwanini wanafanya hivyoHilo ni tatizo la miaka mingi wala sio geni
Usimwite hivyo basi! Kama huwezi kumsaidia si ukae kimya!Unashindwa kutumia google map wewe zwazwa au unataka uonekane tu unaenda kuchukua passport
Fika hapo Police College Kurasini, ulizia utaelekezwa lilipo jengo la Immigration, ni jirani kabisa.Wakuu habari zenu
Naomba kuelezwa wapi zipo ofisi za uhamiaji Dar nataka nikaombe passport.
My location ni Kibamba chama
Kuepusha aibu katika taifaNa kwanini wanafanya hivyo
Aibu ganiKuepusha aibu katika taifa