Mi mwenyewe nawashangaa. In fact hawataki kwenda na wakati. Nimekuwa nikitafuta makabati ya nguo this week, niko busy ofisini mpaka jioni sana, lakini nikisurf sioni kitu. Sasa mwenye makabati ya nguo yenye viwango vya kimataifa awasiliane nami kwenye
mutensa@live.co.uk
Itakuwa vema ukinitumia picha nizione kabla sijachoma mafuta. It is about being serious in business.