wapi website za fenicha?

Iza

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
2,026
611
Hivi kwanini wajamaa wengi wanaotengeneza/kuuza samani za ndani hawana website,mpaka uwatafute? ni gharama au mazoea.. wateja watakuja tuu.... wachache hawaweki bei inakuaje hii
 
Hivi kwanini wajamaa wengi wanaotengeneza/kuuza samani za ndani hawana website,mpaka uwatafute? ni gharama au mazoea.. wateja watakuja tuu.... wachache hawaweki bei inakuaje hii

Mi mwenyewe nawashangaa. In fact hawataki kwenda na wakati. Nimekuwa nikitafuta makabati ya nguo this week, niko busy ofisini mpaka jioni sana, lakini nikisurf sioni kitu. Sasa mwenye makabati ya nguo yenye viwango vya kimataifa awasiliane nami kwenye mutensa@live.co.uk
Itakuwa vema ukinitumia picha nizione kabla sijachoma mafuta. It is about being serious in business.
 
Mko wapi? Labda kama out of US mbona viwanja vya US mi IKEA na ma cousins wake tele tu?

Hata kama upo bongo unaweza kuagiza au kama hatari unaweza kuangalia mapigo na kumpa fundi design.

Wanaojua site za bongo kama zipo waziweke hapa, kama hazipo vijana wa IT mnaotafiuta kazi kazi ndiyo hizi, unakwenda keko pale unawasomesha mafundi na mabosi wao, unawawekea advantages za kuweka vitu online kwamba wanaweza hata kupata order in bulk za kimataifa hususan ukizingatia uzuri wa mbao zetu na urahisi wa bei, mtu unakula tender nzuri tu.

Tunahitaji creative ideas si kila mtu aajiriwe, wengine wanaweza kuwa wajasirimali, soko si hili tunaliona?

http://www.furniture.com

http://www.ashleyfurniture.com/

http://www.ethanallen.com/

http://www.raymourflanigan.com/

http://www.ikea.com/us/en/
 
Mi mwenyewe nawashangaa. In fact hawataki kwenda na wakati. Nimekuwa nikitafuta makabati ya nguo this week, niko busy ofisini mpaka jioni sana, lakini nikisurf sioni kitu. Sasa mwenye makabati ya nguo yenye viwango vya kimataifa awasiliane nami kwenye mutensa@live.co.uk
Itakuwa vema ukinitumia picha nizione kabla sijachoma mafuta. It is about being serious in business.

mtafuten jamaa mmoja humu ndani (JF) anajiita mjasiriamali kama skosei, anafanya kazi hiyo na aliwahi kuweka pcha nzuri sana humu
 
mtafuten jamaa mmoja humu ndani (JF) anajiita mjasiriamali kama skosei, anafanya kazi hiyo na aliwahi kuweka pcha nzuri sana humu

anaitwa MANYUSI, napatikana maeneo ya Sinza, mkong'otee hapa:
0713 876210
 
Back
Top Bottom