Wapi wataweza kunibadilishia kioo cha Iphone ?

Wapi wataweza kunibadilishia kioo cha Iphone ?

jakackseru

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
132
Reaction score
27
Husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua simu nyingine.
 
husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua simu nyingine.

Nenda idigital wapo quality centre bei laki 2 tu
 
husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua simu nyingine.

Kwa Tanzania mtaibiwa sana msinunue hapa, ingia Ebay front screen (kioo cha juu) kule unapata kwa $5 tu au 7 kikiwa na vifaa vya kubandulia kile kioo cha zamani na gundi la kibandikia kioo kipya ukishanunua wewe andaa ela tu ya fundi basi.... zaidi ya hapo utaambiwa mpaka laki 2 kwa wizi wa watanzania mimi yamenikuta kata kama hayo kwa samsung s4 kioo cha juu kubadilisha maambiwa laki 1.8 wakati ebay kioo $5 kwetu wizi mtupu
 
ebay posta wanaiba. Nineshaibiwa vitu vinne havijafika

tumia recorded parcel delivery method , mpokeaji anatakiwa kutia sahihi kupokea mzigo .sijaibiwa parcel yeyote zaidi ya miaka sita sasa
 
tumia recorded parcel delivery method , mpokeaji anatakiwa kutia sahihi kupokea mzigo .sijaibiwa parcel yeyote zaidi ya miaka sita sasa

Recorded parcel inakuaje mkuu hemu fafanua maana posta tunaiogopa kwa wizi watanzania hovyo kabisa ...wizi wizi tu inakela sana
 
Kwa Tanzania mtaibiwa sana msinunue hapa,ingia Ebay front screen(kioo cha juu) kule unapata kwa $5 tu au 7 kikiwa na vifaa vya kubandulia kile kioo cha zamani na gundi la kibandikia kioo kipya ukishanunua wewe andaa ela tu ya fundi basi....zaidi ya hapo utaambiwa mpaka laki 2 kwa wizi wa watanzania mimi yamenikita kata kama hayo kwa samsung s4 kioo cha juu kubadilisha maambiwa laki 1.8 wakati ebay kioo $5 kwetu wizi mtupu

Asante mkuu kwa taarifa, sasa mimi sina a/c ebay nitafanyaje?
 
tumia recorded parcel delivery method , mpokeaji anatakiwa kutia sahihi kupokea mzigo .sijaibiwa parcel yeyote zaidi ya miaka sita sasa

Wakuu ili kupokea mzigo posta inahitaji uwe umejisajili na Huduma gani. Maana Mimi hii Kitu huwa sielewi kabisa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom