asanteelimu2016 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 248 Reaction score 146 Feb 1, 2018 #1 Naomba kuuliza kwa wale mafundi seremala na wenye uelewa wa karibu na mafundi seremala, ni wapi wanauza viti vya kuchunga mahususi kwa ajili ya kanisani na maalumu na wachungaji? Naomba mwenye ufahamu anijuze kuhusu walipo mafundi hao
Naomba kuuliza kwa wale mafundi seremala na wenye uelewa wa karibu na mafundi seremala, ni wapi wanauza viti vya kuchunga mahususi kwa ajili ya kanisani na maalumu na wachungaji? Naomba mwenye ufahamu anijuze kuhusu walipo mafundi hao