bwegebwege JF-Expert Member Joined Jul 30, 2010 Posts 1,072 Reaction score 189 Dec 28, 2012 #1 Wadau habari za leo? Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM. Vitabu vifiuatavyo:- Mashimo ya Mfalme Suleiman Alfu Lela Ulela Malimwengu Hadithi za Esopo Hekaya za Abunuwasi Pinokyo Someni Bila Shida Asanteni
Wadau habari za leo? Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM. Vitabu vifiuatavyo:- Mashimo ya Mfalme Suleiman Alfu Lela Ulela Malimwengu Hadithi za Esopo Hekaya za Abunuwasi Pinokyo Someni Bila Shida Asanteni
BONAVENTURE KACHILA Member Joined Dec 27, 2012 Posts 83 Reaction score 42 Dec 28, 2012 #2 No 2,3 na 4 waone Mwz Book Point Kona ya Posta Road
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,623 Dec 28, 2012 #3 Khaa! Uchoyo huo! Mpaka maduka ya vitabu kwa PM? Weka hadharani. Ongezea na "Juma na Roza", Safari ya Bulicheka, "Musa Neema and Baraka (Mr. and Mrs. Daudi)" na "Manenge na Mandawa" -- Navihitaji hivi!
Khaa! Uchoyo huo! Mpaka maduka ya vitabu kwa PM? Weka hadharani. Ongezea na "Juma na Roza", Safari ya Bulicheka, "Musa Neema and Baraka (Mr. and Mrs. Daudi)" na "Manenge na Mandawa" -- Navihitaji hivi!
Wambugani JF-Expert Member Joined Dec 8, 2007 Posts 1,757 Reaction score 277 Dec 28, 2012 #4 Na mimi nahitija: NAKUPENDA LAKINI......
kazikubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 597 Reaction score 151 Dec 28, 2012 #5 Nayajua maduka ila sikubaliani na sharti la kuku PM
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,831 Dec 28, 2012 #6 kazikubwa said: Nayajua maduka ila sikubaliani na sharti la kuku PM Click to expand... Kama vp si ulivunje hilo sharti kwa kuweka mambo hadharani?
kazikubwa said: Nayajua maduka ila sikubaliani na sharti la kuku PM Click to expand... Kama vp si ulivunje hilo sharti kwa kuweka mambo hadharani?