Wakuu wa janvi,
Naskia mtaani kua magari kwa zanzibar ni bei rahisi kuliko kununulia bara.
naomba mwenye connection ya jinsi ya kupata toyota costa anifahamishe hapa.
natanguliza shukrani.......
sio lazima iwe kwa zanzibar popote pale inapouzwa gari nzuri na yenye hali nzuri na kwa bei reasonable.
asanteni.