Wapi wanauza table tennis.?

Wapi wanauza table tennis.?

Elviejo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
368
Reaction score
193
Habari za asubuhi wadau, naomba mnielekeze sehem au duka wanapouza table tennis na vifaa vyake vyote kwa Dar es Salaam.
 
Kariakoo zipo kibao maduka ya vifaa vya michezo, pia Posta maduka ya vifaa vya michezo
 
Waweza nielekeza yalipo? Maana mengi niliyozungukia yana vifaa vingine kama jezi, viatu, balls na other sports gadgets

Huwa mnachezea wapi kwa huko Dar nije kunyoosha mwili?

Hata Mlimani City zile supermarkets zipo

Maduka ya vifaa vya michezo yamejaza hivi vitu
 
Back
Top Bottom