Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,807 Reaction score 60,176 May 11, 2019 #41 joanah said: Tatizo ndio kila mtu ana namna yake ya kupambana na tatizo fulani,wengine ndio kama hivyo wanafikiria kujinyonga Mungu awatie moyo wenye akili ya kutaka kujidhuru kwa namna yoyote,shetani.ashindwe Click to expand... Kweli kabisa wengine inakuwa ngumu kuishinda nafsi
joanah said: Tatizo ndio kila mtu ana namna yake ya kupambana na tatizo fulani,wengine ndio kama hivyo wanafikiria kujinyonga Mungu awatie moyo wenye akili ya kutaka kujidhuru kwa namna yoyote,shetani.ashindwe Click to expand... Kweli kabisa wengine inakuwa ngumu kuishinda nafsi
Nyox official JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 597 Reaction score 455 May 12, 2019 #42 nduza said: Sio poa mzee Unatia huruma mpaka Mtu anaona akikukataa atakuwa kakuonea kishenzi Wakija kushtuka mtaani karibu wote umesuuza Click to expand... πππ
nduza said: Sio poa mzee Unatia huruma mpaka Mtu anaona akikukataa atakuwa kakuonea kishenzi Wakija kushtuka mtaani karibu wote umesuuza Click to expand... πππ