Dah namimi nilikuwaga kama wewe ila as the days goes on saiv asilimia 60% ubongo wangu unawaza kufa. Ningekuwaga na Bastola labda leo hii nisingekuwepoAfikirie tu watu anaowapenda na wanaompenda kama familia yake lazima apate moyo wa kuendelea kuishi
Binafsi siwezi kuja kufikiria kujiua kwa sababu yoyote ile...sababu kubwa ni nikifikiria navyompenda baba na yeye anavyonipenda hivi namuachaje?namuacha katika hali gani?
Dah namimi nilikuwaga kama wewe ila as the days goes on saiv asilimia 60% ubongo wangu unawaza kufa. Ningekuwaga na Bastola labda leo hii nisingekuwepo
Sio poa mzeeaxee kumbe tuko typ moja mkuu!yaan huwa najifanya nusu saa mbele hamtaniskia tena,ss dada akishaonesha njia ya kunihurumia tayari huyo keshaliwa!iv yy hata hashangai mtu anataka kufa ila anakaa kusikiliza ushauri?angekua anataka kuepa suruwali yake tu n zaid ya kamba aliyokua anatafuta
Akikua Ataacha Akilijua Maana Ya Kufa Vizuri.Hujawahi achwa weww
Sio vijana tu kuna wazee wanalizwa piaUnajua vijana na utoto mwingi
Kuna sehemu Japan watu ambao huwa wanataka kujinyonga huwa wanaingia kwenye huo msitu na kujinyonga kwa masaibu yao.Afikirie tu watu anaowapenda na wanaompenda kama familia yake lazima apate moyo wa kuendelea kuishi
Binafsi siwezi kuja kufikiria kujiua kwa sababu yoyote ile...sababu kubwa ni nikifikiria navyompenda baba na yeye anavyonipenda hivi namuachaje?namuacha katika hali gani?
Nimecheka sana.. eti kama hujaamua nipishe.. anawez rudi kesho?Kuna sehemu Japan watu ambao huwa wanataka kujinyonga huwa wanaingia kwenye huo msitu na kujinyonga kwa masaibu yao.
Pamoja na kuwa na mabango mengi kama "your life is precious gift from your parents" and also " Please consult the police before you decide to die"
Yaani ukishangaa shangaa kwenye kamba mwingine anakuambia kama hujaamua bado nipishe [emoji1787]View attachment 1094590
Kuna sehemu Japan watu ambao huwa wanataka kujinyonga huwa wanaingia kwenye huo msitu na kujinyonga kwa masaibu yao.
Pamoja na kuwa na mabango mengi kama "your life is precious gift from your parents" and also " Please consult the police before you decide to die"
Yaani ukishangaa shangaa kwenye kamba mwingine anakuambia kama hujaamua bado nipishe [emoji1787]View attachment 1094590
Ni shetani kwa kweliDuh!aisee
Ila mtu anayejinyonga ana roho ngumu sana...unajitundika kabisa kwa kamba!
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua kuna wakati waanajiuliza na kuanza kusaliNimecheka sana.. eti kama hujaamua nipishe.. anawez rudi kesho?
Ni shetani kwa kweli
Binadamu usikate tamaa ila subiri siku yako ya mwisho tu utakapoondoka
Kweli binadamu ni dhaifu ila kwa hili hapana
Tunapitia mambo mengi sana lakini kama unaona mambo yanaenda sivyo unaangalia wa chini yako
Huwa napenda kwenda kuwasalimia wagonjwa now and then na hii huwa inanipa faraja katika maisha na kumshukuru Mungu
Yaani kujiua au kuua hapana kwa kweli