Wapi wanauza kamba

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Ni swali nimeulizwa na Kijana mmoja hapa mtaani asubuhi hii.. ila nilivyo mwangalia alikua anatia huruma.

Ni kijana mzuri , mpole, mchapakazi anaejali watu wote. Alivyo niuliza swali hilo kwa msisitizo ikabidi nikae nae kwanza chini.

Ile anaanza kuongea machozi yakaanza kumtoka ndipo ninang'amua kwamba ile kama anayo iukizia ni majanga.

Kijana anasema kuna kabinti alikapenda sana. Akawa anahudumia kwa vizawadi, hadi akakasomesha kozi ya computer walau baadae kawe na maisha mazuri.

Cha ajabu eti leo asububi saa 11 kametima msg eti yule kijana aendelee na maisha yake na wasijuane ena na hakapendi usumbufu.

Kijana amechoka kabisa na hajui na uamuzi alionao ni kujitundika.

Baada y kumkalisha chini na kumwelewesha ni kama ameghairi kujigindika lakini bado anahitahiji msaada


Naomba mnishauri jinsi ya kuyabadilisha/ kuyaokoa maisha yake..

Asanteni.
 
Afikirie tu watu anaowapenda na wanaompenda kama familia yake lazima apate moyo wa kuendelea kuishi

Binafsi siwezi kuja kufikiria kujiua kwa sababu yoyote ile...sababu kubwa ni nikifikiria navyompenda baba na yeye anavyonipenda hivi namuachaje?namuacha katika hali gani?
 
Mweleze kuwa MUNGU anampango mzuri na yeye, hapaswi kufa katika umri huo. Kama ni mke, MUNGU atampa mwanamke mwenye akili, busara na hekima...na atakuwa na furaha tena.

Mweleze kuwa japo binti kamuacha, MUNGU hajamuacha.
 
 
Labda ukimpa penzi ataelewa utamu hauko sehemu moja
 
nimecheka sana. kwamba anataka kufa ila anamwogopa nyoka

Mtu anapotaka kujiua, kuna njia ambayo shetani ndiyo shetani atakuwa amemchagulia. Ikitokea njia njingine ya kusababisha kifo tofauti na hile ya mwanzoni, huyo mtu anabadilisha mawazo.
 
Huyo dogo ana akili nyingi sana huyo
Mpaka saivi amesha Kuwin
Na muda wowote tegemea kuwa mpenzi mpya
Hizo ni aina ya swaga zake
Kuna watu wengine tuna uwezo mzuri tu wa kutia huruma
Nadhani huyo jamaa Niko nae kundi moja
 
In a psychological perspective,

Ningelikua ni mim, kwanza namuita pembeni huyo kijana, namnunulia soda kwanza au kinywaji chochote kama vile juice, then akiwa anaendelea kuni adithia yaliyo msibu namtuliza kwanza " hebu tulia kwanza, jifikirie, ni kitugani unafanya, ifikirie familia yako, angalia dunia itakavyo kucheka kama athari ya kujinyonga, utajiua na mwenzako ataolewa na atakua akiishi maisha mazuri na mpenzi wake, alaf wewe ukifa usizani unamfia, bali unajifia na kuifia familia yako, hivyo zinduka kifikra, zinduka kimoyo, tuliza hasira, hebu jifanye umetoa msaadatu haijalishi umepitia magum yapi kipind unamlipia pesa ya masomo, songa mbele, tafta mwingine baada ya kutuliza akili,

Hataivyo imagine niwangapi wametendwa na mwishoe maisha yakaendelea/yanaendelea!!! Kwahyo nikawaida utazoea baada ya siku mbili tatu"


Naweza kusamaryz kama hivyo yan.
 
Huyo dogo ana akili nyingi sana huyo
Mpaka saivi amesha Kuwin
Na muda wowote tegemea kuwa mpenzi mpya
Hizo ni aina ya swaga zake
Kuna watu wengine tuna uwezo mzuri tu wa kutia huruma
Nadhani huyo jamaa Niko nae kundi moja
axee kumbe tuko typ moja mkuu!yaan huwa najifanya nusu saa mbele hamtaniskia tena,ss dada akishaonesha njia ya kunihurumia tayari huyo keshaliwa!iv yy hata hashangai mtu anataka kufa ila anakaa kusikiliza ushauri?angekua anataka kuepa suruwali yake tu n zaid ya kamba aliyokua anatafuta
 
Dady's little girl..[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…