Wapi wanauza Chromebooks hapa Dar?

simy101

Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
18
Reaction score
4
Salamu wadau,

Ninataka kununua laptop zinazotumia Google OS (Chromebooks) hapa Dar, sichagui brand kwa sasa; iwe Samsung, Asus, Toshiba au 'manufacturer' mwingine yoyote yule... cha msingi kujua ni duka/wapi zinapatikana kwa hapa Dar.

Natanguliza shukrani!

Asanteni.
 
tafuta maduka ya kariakoo niliwahi kununua
 
tafuta maduka ya kariakoo niliwahi kununua

Asante C6 lakini nitashukuru sana kama utakumbuka ni duka gani hasa ulilonunua, ama hata namba zao za simu, mtaa ili tu iwe rahisi mimi kuwapata.
 
Asante C6 lakini nitashukuru sana kama utakumbuka ni duka gani hasa ulilonunua, ama hata namba zao za simu, mtaa ili tu iwe rahisi mimi kuwapata.

mie sio mwenyeji huku ila nilinunua pale kwenye round about. stendi km unaenda mnazi mmoja upande wa kushoto. ni wahindi ao jamaa
 
Shukrani C6, nimefanikiwa kupata jamaa wengine wako Sinza na wanazo kadhaa dukani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…