MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,765
Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani
HIBROS Banda la Ngozi Nyerere road DAR...............Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani
Ahsante sana mkuuHIBROS Banda la Ngozi Nyerere road DAR...............
Powa...........Ahsante sana mkuu
Mimi ninayo mahema mawili(bado mapya kabisa sijatumia hata siku moja) pia nina na camping beds 2 na chairs . Kama utajitaji nmba zangu ni hizi 0655441943Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani
Naomba picha za mahema na vitanda PM.Mimi ninayo mahema mawili(bado mapya kabisa sijatumia hata siku moja) pia nina na camping beds 2 na chairs . Kama utajitaji nmba zangu ni hizi 0655441943
Posta mtaa wa Jamuhuri opp na Wizara ya Sayansi kama sijakosea jirani na studio ya Sunrise.Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani
Mimi nadizain na kushona aina zote za mahema nipo kkoo gerezani mtaa wa makamba, pia tupo kigamboni ferry.Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani