bayport au platiumHabari zenu humu ndani wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya mwanza???
Mkuu vgezo vyake ukiitaj kukopa?Na ukitaka platinum nipm nikuhudumie utapata pesa kwa haraka zaidi
Uwe mtumishi wa serikali ndo kigezo kikubwa pia tunaangalia moja ya tatu ya mshahara wakoMkuu vgezo vyake ukiitaj kukopa?