husnie1703 New Member Joined Nov 4, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Nov 8, 2025 #1 Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc. 1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake . 2. Naomba anijuze pia sehemu wanayofundishwa hasa short course pia naomba aniambie nataka nikajifunze.
Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc. 1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake . 2. Naomba anijuze pia sehemu wanayofundishwa hasa short course pia naomba aniambie nataka nikajifunze.
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,862 Reaction score 10,531 Nov 8, 2025 #2 VETA
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,470 Reaction score 74,188 Nov 8, 2025 #3 Ngoja Waje
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Nov 8, 2025 #4 Ninaweza said: VETA Click to expand... Na kwa wapambaji maarufu wakubwa
husnie1703 New Member Joined Nov 4, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Nov 8, 2025 Thread starter #5 Ninaweza said: VETA Click to expand... Asante sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,577 Reaction score 193,562 Nov 9, 2025 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw