Mmm, huyo kimwana yuko pande za Chanika Dar, ila mimi mtu wake wa karibu (shangazi) niko Katavi kikazi narudi baada ya mwezi mmoja, hivyo kama wataka mambo marefu (ndoa), nifuate huku Katavi. Kama wataka mambo mafupi (uhusiano reja reja), hayo siyawezi, mfuate huko kwenye facebook mutaongea mambo yenu.