che wa Tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 277 Reaction score 71 Jul 30, 2012 #1 Wadau habari zenu........naweza kupata wapi wachoraji wa tattoo kwa dar es salaam au stika zile za temporary tattoo zinauzwa wapi. Nawasilisha wadau
Wadau habari zenu........naweza kupata wapi wachoraji wa tattoo kwa dar es salaam au stika zile za temporary tattoo zinauzwa wapi. Nawasilisha wadau
Xidian JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 503 Reaction score 149 Jul 30, 2012 #2 ole wao wanaojichora ktk miili yao.
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Jul 30, 2012 #3 tattoo haina madhara?
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,984 Reaction score 60,033 Jul 30, 2012 #4 Mkuu wewe wa kike au wakiume? wale wanawake wapemba huwa wanachora kwenye masalon ya kike. ie wewe wataka za kudumu au za mda? mi kuna mshikaji wangu anaitwa Tizzo anakaa keko machungwa. hana ofisi maalum, ukimuhitaji unampigia simu. Mia
Mkuu wewe wa kike au wakiume? wale wanawake wapemba huwa wanachora kwenye masalon ya kike. ie wewe wataka za kudumu au za mda? mi kuna mshikaji wangu anaitwa Tizzo anakaa keko machungwa. hana ofisi maalum, ukimuhitaji unampigia simu. Mia