Kenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu..
Mm mtu akiongeleaga hizi biashara huwa najikuta ninamdharau na kumshusha thamani sijui kwann.
Hizi biashara kifupi ni za waliopoteza matumaini ya kutoka kimaisha hasa hasa wazee na watu wa makamo.
Mtoa mada nisamehe kwa kukudharau ila unakotaka kwenda wengine tulishaenda tukajionea uhalisia.
Mambo sijui ya Mercury,Silicon,rupia(sijui za masimba simba)Fufumark,shilingi 1 ya malkia naiaka yake,pasi na mataakataka mengine ukijiingiza huko Utajuuta,narudia tena utajuuta.
Mwenzio nimesafirisha sana watu kwenda mombasa.kupelwka hizo mambo ila niliishia kupoteza hela zangu na kuachana nayo hayo.