Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
Kama hiviacje mwaga ladhi jukwaan,mzuka
Hehe mb mtarajiwaBado anatembeza bakuli ili aanze kampeini
Hehe mb mtarajiwa
Nyie pigeni kelele tu, ila Moro na Abood ni chanda na pete, hao wengine ni wasindikizaji tu wanaishia stendi then mwenye safari yake anapanda gari. Mtaishia msamvu, Abood ndo ataenda Dodoma
Anafanya kampeni za kisayansi, mwisho wa siku watu watabaki midomo wazi
Alikuwa makini sana huyu jamaa ukiacha tabia zake za kusasambua.Nini kilimfanya afuate plans za MM atajaza mwenyewe
Hongera......naona unajua kutag nowdays
Umeielewa mada lakini???
Cha msingi ni wewe kupata ujumbe wangu hayo yakwako ni mbwembwe tu
Ujumbe dhaifu.....ww ni miongoni mwa wanaJF wanaopost hovyo hovyo bila mantiki au ueledi.......kuna mtu ameshauri kuwe na limit ya kupost kwa people like you
Moro kugumu sana, kumshinda Abood labda akachanje chale kwenye ulimi na katikati ya moyo halafu apakwe kinyesi cha allien