Wapi Seleman Msindi (Afande Sele)?

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
 
Afande anapoteza muda na nguvu zake tu
 
Wengi huwa tuna matatizo ya kujitambua. Naamini Afande alikosea kujua yeye alivyo na kundi aliloamua kujipambanua nalo. Alitamani mafanikio ya haraka bila kujali kuwa yatadumu muda gani
 
Tatizo bangi nyingi kwa mwanangu afande mpaka anasahau kuzindua kampen.
 
Hadi leo hii zimebaki siku 23 hajazindua? Sio bure labda hana fungu la kufanya hiyo mambo.
 
Afande anazungukazunguka na funcargo hapa mjini na kushinda Uhuru park tu...alibugi snaaa
 
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
Nimemsikia leo kwenye Panga Pangua Majimboni kupitia Azam TV.

Jamaa ni mweupe mno kwa upande wa kujenga hoja za kisiasa, anaongea vitu ambavyo havipo kwenye jamii.

Ila namheshimu kwenye mashairi ya mziki, lakini kwenye siasa mwepesi mno.
 
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?

Yupo morogoro analima vitunguu,si ni mkulima yule?
 
Nyie pigeni kelele tu, ila Moro na Abood ni chanda na pete, hao wengine ni wasindikizaji tu wanaishia stendi then mwenye safari yake anapanda gari. Mtaishia msamvu, Abood ndo ataenda Dodoma
 
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?

Bado anatembeza bakuli ili aanze kampeini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…