nililuliza wapi rachel A Temu naona mmeniletea umbea wa Mange blogu......mwacheni dada wa watu kama ni maisha kayapatia..maisha sio kuwa na hela maisha ni kutumia hela na ikuzoeee..wangap mnahela mnakufa nazo benk....naombeni habari za Rachel A Temu...yuko wapi na anafanya nini kwa sasa..inanihusu