Ina wadada wazuri?? Mziki vp?9?Njoo tegeta, KB BAR ni pazuri Sana hutajutia Hela yako mkuu
Asante kwa maelekezo mazuriNjoo tegeta, KB BAR ni pazuri Sana hutajutia Hela yako mkuu
Ndo wp mkuuJidi
Wadada ni wazuri Sana mkuu, wakarimu Sana aisee, wasafi hawana dharau, mziKi MzuriiIna wadada wazuri?? Mziki vp?9?
Kwenye Economics ehOpportunity Cost nimekumbuka shule
Hata kwa dawa hunipeleki Tabata. Inshort ukiiniona Tabata piga yowe Guzman_ katekwa. Kuna mabwabwa wengi sana huko.Njoo tegeta, KB BAR ni pazuri Sana hutajutia Hela yako mkuu
Dar maisha ni mepesa sana hata mwenye kua na laki moja unaulizia sehemu nzuri za starehe.......njoo hapa uone kama unaweza kuulizia visehemu sehemu maisha gariLeo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba tuambiane ni kiwanja kipi cha kwenda maana weekend naona ninachohitaji kwa leo ni sehemu nitakunywa kula na kucheza mziki, kucheza mziki ndio zaidi na seheme yenye ke za kutosha ndo la muhimu zaidi.
Happy weekend
Nawe umesoma economics nidhani utataja sehemu inayoweza kuhakikisha value for money inazingatiwaOpportunity Cost nimekumbuka shule
Hahahahahah huko sio kuzuri mkuu; mi nataka sehemu yenye mizgo mkuuHata kwa dawa hunipeleki Tabata. Inshort ukiiniona Tabata piga yowe Guzman_ katekwa. Kuna mabwabwa wengi sana huko.
Usikute we unakunywa konyagi tu hafu unajifanya kuulizia viwanja vikaliLeo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba tuambiane ni kiwanja kipi cha kwenda maana weekend naona ninachohitaji kwa leo ni sehemu nitakunywa kula na kucheza mziki, kucheza mziki ndio zaidi na seheme yenye ke za kutosha ndo la muhimu zaidi.
Happy weekend
Nawe umesoma economics nidhani utataja sehemu inayoweza kuhakikisha value for money inazingatiwa
Kwenye Economics eh
Hahahahahah viniywaji vikali tunatumia kulingana na kampani mkuu; siunajua pombe ni kujaribu mpaka ugunduzi utakapoisha maana pombe ni nyingiUsikute we unakunywa konyagi tu hafu unajifanya kuulizia viwanja vikali
Hahahahahah viniywaji vikali tunatumia kulingana na kampani mkuu; siunajua pombe ni kujaribu mpaka ugunduzi utakapoisha maana pombe ni nyingi