Wapi ntapata simu kwa bei ya jumla

Wapi ntapata simu kwa bei ya jumla

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,891
Reaction score
5,063
Mm npo kigoma huku border ya burund kuna kaduka nimefungya ila natka kuuza simu za kawaida not smartphone
Naomba mnifahamishe naweza kuzipata WAP ndan ya Tanzania hiie na nkiweza kuwekewa na bei pia itakuwa vizuri sana
 
Ukiweka namba zako za simu pia itakuwa vizuri ili uweze kupata Wateja weng zaidi
 
Back
Top Bottom