Mkuu kkoo sehemu gani na zinauzwaje?Nenda pale kariakoo
Tatizo la app ya kwenye simu si itakuwa inamaliza betri kila wakati na sidhani kama ni reliable kivile,
anyway inaonyesha hii product haikufanyiwa marketing ya kutosha humu na inafahamika kwa watu hawazidi kumi nchi nzima
Ni kweli hizi za mtandaoni sio reliable, nime download mmoja lakini haifanyi kazi vzrTatizo la app ya kwenye simu si itakuwa inamaliza betri kila wakati na sidhani kama ni reliable kivile,
anyway inaonyesha hii product haikufanyiwa marketing ya kutosha humu na inafahamika kwa watu hawazidi kumi nchi nzima
Hiyo mechanism ya app kufukuza mbu ipoje,ndo nasikia leo hiki kitu[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni kweli hizi za mtandaoni sio reliable, nime download mmoja lakini haifanyi kazi vzr