Wapi ntapata empty teabags

Kuna soko linaitwa karume pale dar es salaam, zipo hizo utazipata.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa hii Tanzania ya viwanda tutafika kweli kama vitu vidogo kama izo empty tea bags hamna
 
Siyo kazi ngumu sana natengenezea nyumbani ; nilikuwa nataka nianze mwenyewe kama ntapata izo tea bags hapa bongo then niki raise mtaji ninunue hii mashine View attachment 1034941
Hongera sana, Sasa saiv ukizipata hizo tea bags tupu utazijaza vipi na kuzifunga Kama huna hiyo mashine?

Jaribu kuagiza online hizo bags utapata na kampuni za kusafirisha vifurushi zipo nyingi tu mzigo wako utafika hapa bongo bila tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilikuwa na wazo kama lako ila nilishindwa kuanza baada ya kukosa mashine kwa ajili ya hivo vifungashio nipe darasa jinsi gani utaweza kufunga na mimi nianze project yangu ya home made instant ....
 
Kuzifunga ni simple sema tuu inachukua muda mrefu
 
Mashine zipo ukiagiza China ni simple , mimi sina tuu pesa sasa nimeona kuliko kusubiri kupata pesa bora nianze kufunga mwenyewe sasa changamoto ni wapi ntapata izo teabags hapa kwetu,
Nina plan kubwa sana sema tuu mtaji ndo tatizo lakin nishaanza na Products zingine
Ukiingia youtube utaona wanyoeleka kufunga izo teabags bila mashine ,
Vip unajua ntapata wapi izo teabags jamani
Mkuu nilikuwa na wazo kama lako ila nilishindwa kuanza baada ya kukosa mashine kwa ajili ya hivo vifungashio nipe darasa jinsi gani utaweza kufunga na mimi nianze project yangu ya home made instant ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…