Hebu funguka vzr mkuu unataka tester inayopima kuanzia 6v had 24v?
Kwan wew ni fundi umeme wa magar? Na mim nipo arusha kama unataka dc tester kwaajir ya umeme wa magari mi ntakupa maujanja ya kuitengeneza hata gharama yake haifiki 1500.
Kama utahitaji ni pm.
Ungekuwa dar ningekuelekeza kwa kupata