Naomba kwa yeyote anayejua sehemu wanapofundisha Accounting Packages hasa Quickbook anisaidie kwani nina hitaji ya kujifunza kwa haraka tayari kwa kuifanyia kazi ambayo nipo nje ya muda.
Naomba sana msaada wenu.
Centre iwe Dar es Salaamu na muda uwe jioni.
Nikijua na Gharama itasaidia zaidi.
Natanguliza Shukrani.