Mkubwa,bei ya chini kama shillingi ngap?Ingekua vizuri utupe kadirio lao ili kila mtu ajue na si kwamba siku nyingine akiwa anahitaji msaada mpaka akucheki wewe
Ukitokea pale Veta Chang'ombe. kama unakwenda uwanja wa Taifa kabla hujafika Keko kwenye fenicha, upande wa kulia kuna barabara ya lami inaitwa Mbozi road.... ukiifuata hii barabara cheki kulia kwako utaona mahali kuna maandishi ya Cello... Ni hapo!
hello TANMO
Asante kwa maelekezo yako. nimekupata uzuri.
Sorry hivyo viti vya 9,500 ulivinunua mwaka gani? na wanauza kuanzia pieces ngapi pale kiwandani? plz
hello TANMO
Asante kwa maelekezo yako. nimekupata uzuri.
Sorry hivyo viti vya 9,500 ulivinunua mwaka gani? na wanauza kuanzia pieces ngapi pale kiwandani? plz