Yaani uko bize kwenye keyboard alafu unamwambia mtu aache kujikunyata.Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready!
Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika nitaondoka. Yeye ataondoka. Nasikia hata wewe utaondoka. Endelea kujikunyata kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua. Subiri mafuriko yakukumbe.
Nauliza swali la kizushi. "Nani mwenye hati miliki ya nchi hii?"
Kama yy nyumbu sasa sijui nani?Yaani uko bize kwenye keyboard alafu unamwambia mtu aache kujikunyata.
Wewe ni nyumbu.
Wewe ni mwanafunzi under 18 mbona una kiherehere hivyo?
Kama mm nina kiherehere basi ww una kiwashawashaWewe ni mwanafunzi under 18 mbona una kiherehere hivyo?
Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready!
Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika nitaondoka. Yeye ataondoka. Yule ataondoka. Nasikia hata wewe utaondoka. Endelea kujikunyata kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua. Subiri mafuriko yakukumbe.
Nauliza swali la kizushi. "Nani mwenye hati miliki ya nchi hii?"