zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,359 Reaction score 26,984 Mar 12, 2019 #2 agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana
agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana
Vagus92 Member Joined Nov 19, 2018 Posts 16 Reaction score 1 Mar 12, 2019 Thread starter #3 zipompa said: agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana Click to expand... Duh, ni vina 50cc tu ndo viuzwe bei kubwa ivyo
zipompa said: agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana Click to expand... Duh, ni vina 50cc tu ndo viuzwe bei kubwa ivyo
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Mar 12, 2019 #4 zipompa said: agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana Click to expand... Ukute iyo nyumba kwenye avatar anaimiliki, atashindwaje!
zipompa said: agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana Click to expand... Ukute iyo nyumba kwenye avatar anaimiliki, atashindwaje!