Sanjara Honey
Member
- Jul 1, 2009
- 71
- 32
Nikinunua ya vichupa vya Konyagi, hiyo bidhaa bei yake haitanunulika sokoni! Anyway nahitaji nyingi kwa ajili ya majaribio ya kutengeneza recipes. Asantenunua konyagi kidogo kidogo mpaka ifike lita ishirini mkuu .. ingekuwa bia ungepata spirit sijawi ona mitungi yake
kama unataka spirit nenda makampuni yanayouza chemical unaweza pata.... kuna moja ipo maeneo ya mbezi beach nimeshaahu jina unaweza pataNikinunua ya vichupa vya Konyagi, hiyo bidhaa bei yake haitanunulika sokoni! Anyway nahitaji nyingi kwa ajili ya majaribio ya kutengeneza recipes. Asante
Aha ha ha ha Mkuu wacha utani. Hiyo hainaga TiiBiiEsi na kwenye usawa huu wa Magu nitampa Kigwa kiki ya fwastaUngekua Kilimanjaro ndo kuna hizooo za lita20 lakini ukikamatwa unalo na maanisha (gongo,chang'aa,piwa) si ndo tunaziitaga hivyo
Nataka kutengeneza formulation za products zangu za vilevi kwa njia ya utafiti (R&D in product development). Nisaidieni jamani nina hitaji la kweliNadhani kwanza kisheria hurusiwi kukutwa na lita 20 za spirit.....so we wataka kutengeneza nini kwanza?