Naomba msaada wadau, wapi naweza kupata powervu software ya hometech receiver na firmware reciever zangu zote zinafungua hbo pekee,zinagoma kufungua AFN SPORT na SONNY package. Msaada wenu unahitajika wadau
[HASHTAG]#HUNDYZ[/HASHTAG], habari za muda. Decoda hii ya HomeTech 940II Combo HD nimepata kuiona mara ya kwanza ikitokea TZ. Shida ya decoda sampli kama hii ya kwako ni kua wadau wa China hawana "software" ya moja kwa moja. Na ikiwepo "support", inachelewa sana.
Ikiwa vyema na wewe tafadhli ifungue decoda ya kwako na upige picha na nambari ya motherboard. Kisha piga picha ya "STB INFORMATION". Habari hizi husaidia sana kupata software ambayo inaambatana na hii decoda.
Habari wanandugu? kuna jamaa yangu amenunua Hometech decoder nataka kufunga ila sijui frequency zake wala symborate
please kama kuna mtu anazijua naombe msaada