Hello, naomba kwa yeyote mwenye idea ya zinapopatikana POWER BANKS, hapo Dsm. Sihitaji nyingi sana. Mimi huwa naagiza China na kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka.
Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji basi anipigie kwa SIMU 0754 734009. Ziwe zenye capacity 8400-20,000 mAh.
Na kwa yeyote mwenye kuuza hizi Powerbanks kwa rejareja, NA anahitaji tuwe tunamletea popote alipo, atupe email yake nasi tutampa price quotation na atafurahia bei zetu. ( we source and supply powerbanks, used laptops and tablets- kutoka nje ya nchi).
OFISI yetu ipo Mbeya mjini, na hivi karibuni tunafungua ofisi yetu Sinza Mugabe Dsm.
Asanteni!
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
mimi ninazo zenye capacity ndogo kesho nitapokea mzigo wa 8400 mah nauzaga rejareja. Ngoja niikuchekk then tuangalie tunafanyaje biashara
umeshapokea mzigo wako? Kama ndio ni ukubwa gani na utaniuzia bei gani kwakuwa nami nataka kuwauzia wateja wangu nimezoea kuwapa, sema mzigo wangu umechelewa.
No yangu 0754 734009, tuwasiliane hata kwa whasapp
Hello, naomba kwa yeyote mwenye idea ya zinapopatikana POWER BANKS, hapo Dsm. Sihitaji nyingi sana. Mimi huwa naagiza China na kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka.
Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji basi anipigie kwa SIMU 0754 734009. Ziwe zenye capacity 8400-20,000 mAh.
Na kwa yeyote mwenye kuuza hizi Powerbanks kwa rejareja, NA anahitaji tuwe tunamletea popote alipo, atupe email yake nasi tutampa price quotation na atafurahia bei zetu. ( we source and supply powerbanks, used laptops and tablets- kutoka nje ya nchi).
OFISI yetu ipo Mbeya mjini, na hivi karibuni tunafungua ofisi yetu Sinza Mugabe Dsm.
Asanteni!
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
Mimi nauza Power Banks kwa rejareja. Ninao mzigo wa kutosha kwa bei ya shilingi 75,000 tu. Napatikana katika simu namba 0714845683, niko Dar es Salaam maeneo ya Kimara Mwisho au Kinondoni Mangoe Garden. :thumbup::thumbup:
naagiza kutoka Marekani, 10 Pieces kwa shilingi 400,000/=,,,12000mAh Power Banks ..0767-174757SEMA BEI GANI HIZO 20,000 mAh,