Natafuta luxury packaging kwa ajili ya bidhaa za vyakula kama makopo na mifuko. Pia nahitaji watu wanaoandaa package za maboksi yaliyoprintiwa au kuprint katika mifuko.
Kuhusunbox nenda TE BOX hii kampun ipo kama unaenda MSD ulizia utapelekwa
packaging kuna kampun inaitwa OMAR PACKAGING nadhan ipo maeneo ya vingungut kulia.